Wednesday, February 26, 2014

Jinsi ya kuongeza frequeny kwenye azam tv iliuweze kuongeza chanel ambazo utaweza kuangalia mechi za UEFA na EPL.zinazokubari ni za mbc 1 & 2 wakati wa soka 2 inakuwa 3 #11192h3210,/recodmozambiq #10963h3255./ zile zimbotv #12728h30000./hii mpya test #11144h5714 mnirudishie majibu kama mmepata au la #12646h30000. nilijaribu zote zenye majibu nilizojaza.Ila kwa wale ambao mnaona ina wasumbua tafadhari muoneni fundi ili waingizie hizo frequency kwani kwa mara ya kwanza lazima ua add satelite kwanza na uipe name kisha ndio uingize frequency tatizo lipo kwenye kuaadd satelite kwani lazima kuna vitu vya kuseti kama LNB Freq 9750- 10600.Disceqc - 1.2,LNB Power - auto, 22k - auto, switch port - port 1, Toneburst - 1, Location - west, Longitude - 0.0

Monday, January 20, 2014

Azam TV
Kuhusu chaneli za kawaida, azam tv ina transmit tbc1 na chaneli 10 tu, hatahivyo, Itv na startv ina patikana kwenye
amos5 satalite kuongeza channeli za bure kwenye decorder yako ya azam wasiliana na Baraka 0713666484
4 minutes ago