Wednesday, February 26, 2014

Jinsi ya kuongeza frequeny kwenye azam tv iliuweze kuongeza chanel ambazo utaweza kuangalia mechi za UEFA na EPL.zinazokubari ni za mbc 1 & 2 wakati wa soka 2 inakuwa 3 #11192h3210,/recodmozambiq #10963h3255./ zile zimbotv #12728h30000./hii mpya test #11144h5714 mnirudishie majibu kama mmepata au la #12646h30000. nilijaribu zote zenye majibu nilizojaza.Ila kwa wale ambao mnaona ina wasumbua tafadhari muoneni fundi ili waingizie hizo frequency kwani kwa mara ya kwanza lazima ua add satelite kwanza na uipe name kisha ndio uingize frequency tatizo lipo kwenye kuaadd satelite kwani lazima kuna vitu vya kuseti kama LNB Freq 9750- 10600.Disceqc - 1.2,LNB Power - auto, 22k - auto, switch port - port 1, Toneburst - 1, Location - west, Longitude - 0.0

No comments:

Post a Comment